LIL WAYNE AMBURUZA MAHAKAMANI YOUNG THUG, KISA HIKI HAPA...


Mwaka 2017, Young Thug alitangaza ujio wa album ya Barter 7, muendelezo wa Barter 6 ya mwaka 2015. Mashabiki wa Thug wanaweza wasiipate kazi hiyo kutokana na Lil Wayne kuingilia mchongo huo.


Lil Wayne amemshtaki Young Thug kutokana na kufanana kwa majina ya album hizo na zile za kwake (The Carter) amezungumza Thug kwenye LIVE video ya instagram ya mpenzi wake 

Wayne aliwahi kumtishia kumshtaki Thug kipindi cha nyuma kutokana na kutumia jina hilo (The Barter) na ikawa mwanzo wa bifu lao ambapo kwa sasa limefika mahakamani.

Post a Comment

0 Comments