LIST YA WASHINDI TUZO ZA GRAMMY YAVUJA...
Tuzo za Grammy zimevuja, tumewajua washindi kabla ya tukio lenyewe February 10 mwaka huu. Jana Jumatatu mitandao ilisimama baada ya kuonekana orodha ya washindi tena kwenye tovuti rasmi ya Grammy.

Hii ilienda mbali zaidi ilipoonekana kipande cha video kwenye tovuti hiyo kikithibitisha washindi hao ambao ni pamoja na Drake, Travis Scott, Kendrick Lamar and SZA, Cardi B pamoja na H.E.R. - tumekuwekea tweets zenye list hapo chini kuona orodha hiyo.

Msemaji wa kamati (Recording Academy) amekanusha taarifa hizo na kuziita uzushi, alipozungumza na Complex. 

 


SOURCE: DOZEN SELECTION

Post a Comment

0 Comments