Mkuu
wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP
Liberatus Sabas, akizungumza na kikosi Maalum cha kupambana na uhalifu
katika viwanja vya Kikosi cha kutuliza Ghasia Mkoa wa Mtwara, baada ya
kuwasili katika ziara yake ya kikazi akitokea mkoani Ruvuma. (Picha na
Jeshi la Polisi)
Wa
kwanza kulia ni Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini
Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas, akishiliki mazoezi ya pamoja na
kikosi maalum cha kupamba na na uhalifu Mkoa wa Mtwara baada ya kuwasili katika ziara yake mkoani humo.
Mkuu
wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP
Liberatus Sabas aliesimama katikati, akimsikiliza Mkaguzi wa Polisi
INSP, Idd Kimia wa kushoto kwake wakati akiangalia utayali wa kikosi cha
kupambana na uhalifu Mkoa wa Mtwara ambacho hakipo pichani.
Mkuu
wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP
Liberatus Sabas katikati na kulia kwake ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Mtwara ACP Joseph M.Konyo wakiwa katika picha ya pamoja na kikosi maalum
cha kupambana na Uhalifu mkoani humo. (Picha na Jeshi la Polisi).
0 Comments