NDIMBO WA TFF ATEULIWA KUWA OFISA NA CAF

OFISA Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) Cliford Ndimbo ameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) kuwa OfisA Habari wa CAF.

Ndimbo atakuwa Ofisa  kwenye mchezo namba 99 kati ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini na Asec Mimosas ya Ivory Coast.

Mchezo huo utachezwa Ijumaa, Februari 1, nchini Afrika Kusini Uwanja wa Tshwane-Loftus Versfeld ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika

Post a Comment

0 Comments