NOMINATIONS ZA OSCAR ZATOLEWA, FEB 24 WASHINDI KUJULIKANA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, January 24, 2019

NOMINATIONS ZA OSCAR ZATOLEWA, FEB 24 WASHINDI KUJULIKANA


Washindani (nominees) wa tuzo za 91 za filamu na televisheni OSCARS wametajwa rasmi January 22, 2019. Jumla ya vipengele 24 vitawakutanisha nyota ya wafilamu na televisheni usiku wa February 24 mwaka huu.

YAFUATAYO NI BAADHI YA MAJINA NA CATEGORIES:

BEST PICTURE:
1. Black Panther
2. BlacKkKlansman
3. Bohemian Rhapsody
4. The Favourite
5. Green Book
6. Roma
7. A Star Is Born
8. Vice

BEST ACTOR:
1. Rami Malek
2. Christian Bale
3. Viggo Mortensen
4. Bradley Cooper
5. Willem Dafoe

BEST ACTRESS:
1. Glen Close
2. Lady Gaga
3. Olivia Coleman
4. Melissa McCarthy
5. Yalitza Aparicio

BEST ORIGINAL SONG:
1. Shallow (A Star Is Born)
2. All the Stars (Black Panther)
3. I'll Fight (RBG)
4. The Place Where Lost Things Go (Mary Poppins Returns)
5. When a Cowboy Trades his Spurs for Wings (The Ballad of Buster Scruggs)

Kumbuka kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 10, tuzo hizo zitaenda bila ya mshereheshaji (host) hii ni baada ya Kevin Hart kujitoa punde tu baada ya kutangazwa.
Loading...

No comments: