PERISIC ALAZIMISHA UHAMISHO WAKE... - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, January 28, 2019

PERISIC ALAZIMISHA UHAMISHO WAKE...


Baada ya ofa ya Arsenal ya kumsajili Ivan Perisic kwa mkopo kugonga mwamba kutoka Inter Milan, winga huyo ameamua kuwasilisha barua ya kuondoka klabuni.

Mtendaji Mkuu wa Inter Milan Guiseppe Marotta ameiambia Sky Italia,"Perisic ameomba kuondoka lakini bado hakuna ofa kwa ajili yake mezani. Tutaona katika siku kadhaa zijazo." 

“ Tutasikiliza kuhusu ofa yoyote kuhusu Perisic, amewasilisha barua ya kutaka kuondoka, itabidi tujaribu kumridhisha lakini pia kuheshimu thamani yake” 
Loading...

No comments: