Rais Magufuli Ampa POLE Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta Kufatia Shambulizi la Kigaidi Lililoua Watu Kadhaa - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, January 17, 2019

Rais Magufuli Ampa POLE Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta Kufatia Shambulizi la Kigaidi Lililoua Watu Kadhaa


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli amezungumza na Rais wa Jamhuri ya Kenya Uhuru Kenyatta juu ya shambulizi lililotokea katika Hotel ya DusitD2 Jijini Nairobi na kumtakia pole yeye pamoja Raia wa Kenya.
Ad
Loading...

No comments: