RASMI: KICHUYA HUYOOO LIGI KUU YA MISRI, SIMBA WATHIBITISHA
Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara, Klabu ya soka ya simba wamethibitisha Uhamisho wa winga wao Shiza Ramadhani Kichuya kuwa umekamilika na kuanzia kesho ataanza mazoezi na timu yake mpya ya Enppi kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Misri dhidi ya Al Ahly utakaochezwa siku ya Jumanne Februari 5, 2019.

Taarifa hii imetolewa rasmi na klabu hiyo kupitia Ukurasa wao rasmi katika mtandao wa kijamii wa Twitter. Kila la kheri Shiza Kichuya. Tunakuombea mema watanzania. 

Tweet ya kuthibitisha uhamisho huo.

Post a Comment

0 Comments