Simba wapigwa ‘Hamsa’ 5 – 0 mbele ya AS Vita michuano ya Klabu bingwa Afrika - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, January 20, 2019

Simba wapigwa ‘Hamsa’ 5 – 0 mbele ya AS Vita michuano ya Klabu bingwa Afrika


Wawakilishi wa nchi kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika Simba SC wamekubali kipigo cha mabao 5 – 0 mbele ya AS Vita ya DR Congo.
Mlindalango wa Simba Aishi Manula akionekana haamini matokeo. 
Loading...

No comments: