SIMBA YASHUSHA VIFAA VIWILI KUTOKA AFRIKA MAGHARIBI, COULIBALY MGUU NJE - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, January 22, 2019

SIMBA YASHUSHA VIFAA VIWILI KUTOKA AFRIKA MAGHARIBI, COULIBALY MGUU NJE
Klabu ya Simba imeona kuna ulazima wa kuongeza nguvu katika kikosi chake maana Ligi ya Mabingwa Afrika si mchezo.

Simba imeshusha wachezaji wawili wa kigeni ambao wataanza mazoezi leo.

Taarifa zinaeleza wachezaji hao tayari wako jijini Dar es Salaam na Zana Coulibaly ataachwa kama wachezaji hao watakubalika kwa Kocha Patrick Aussems.

Loading...

No comments: