SUPER MARIO BALOTELLI ATUA OLYMPIC MARSEILLEStraika wa zamani wa klabu ya Liverpool na Manchester City, Mario Balotelli leo hii ametangazwa kujiunga na klabu ya Olympic Marseille kwa mkataba wa miezi sita. 

Balotelli amejiunga kwa uhamisho huru kutoka Nice na atacheza jumla ya mechi 17 katika dimba la Stade Velodrome na kujipatia kiasi cha Pauni Milioni 2.6 mpaka mwisho wa msimu huu. 

Post a Comment

0 Comments