Tanzia: Baba mzazi wa Alikiba, Mzee Saleh Kiba afariki dunia - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, January 17, 2019

Tanzia: Baba mzazi wa Alikiba, Mzee Saleh Kiba afariki dunia


Baba mzazi wa Msanii wa Bongo Fleva Ali Kiba, Mzee Saleh Kiba, amefariki dunia alfajiri ya leo katika Hospitali ya Taifa Ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.
Msiba upo nyumbani kwa marehemu Kariakoo mtaa wa Muheza jijini Dar es salaam (unaingilia China Plaza) ambapo mipango ya mazishi inafanywa
Loading...

No comments: