TANZIA: Mvumbuzi wa Madini ya Tanzanite afariki dunia - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, January 31, 2019

TANZIA: Mvumbuzi wa Madini ya Tanzanite afariki dunia


Mzee Jumanne Ngoma ambaye aligundua Madini ya Tanzanite amefariki leo  January 30, 2019  ktk Hospital ya Muhimbili alipokuwa anapatiwa  matibabu.

Mtoto wa marehemu, Hassan Ngoma amesema, “Ni kweli Mzee amefariki leo jioni hii hapa Muhimbili,” amesema Ngoma.

Mwaka jana, Rais John Magufuli akizindua ukuta wa mgodi wa Tanzanite, Mirerani mkoani Manyara alimzawadia Sh.100 milioni kama shukrani kwa mchango wake kwa kugundua madini hayo.

Loading...

No comments: