TEKASHI 69 KUENDELEA KUSOTA JELA, ANYIMWA DHAMANA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, January 24, 2019

TEKASHI 69 KUENDELEA KUSOTA JELA, ANYIMWA DHAMANAMsanii Tekashi 69 bado anaendelea kusota ndani ya nondo za jela na ataendelea kuzisalimia masaa 24 kwani taarifa zinaeleza kuwa amenyimwa dhamana.

Tekashi 69 pamoja na wenzake wanne wamenyimwa dhamana juzi Jumanne (January 22) kwenye kesi yake ya ukabaji, kukutwa na silaha pamoja kuhamasisha shambulio la uvamizi akiwa na wenzake. Sasa watatakiwa kufika tena mahakamani February 20 mwaka huu.
Loading...

No comments: