VIN DIESEL NA LUDACRIS WAFICHUA SIKU GANI FAST & FURIOUS 9 ITATOKA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, January 28, 2019

VIN DIESEL NA LUDACRIS WAFICHUA SIKU GANI FAST & FURIOUS 9 ITATOKA


Waigizaji Vin Diesel na Ludacris wametupa taarifa hii nzuri kuhusu ujio wa filamu ya Fast And Furious 9. Wa kwanza amekuwa Ludacris ambaye muda mfupi uliopita ameandika kuwa filamu hiyo itatoka rasmi April 10, 2020.

Kauli ya Luda imepewa nguvu na post ya Vin Diesel ambaye jana kwenye ukurasa wake wa instagram aliweka video akiwa na mwigizaji Michelle Rodriguez kisha kuambatanisha na ujumbe kuwa utayarishaji wa filamu hiyo utaanza mwezi ujao mjini London Uingereza
Post ya Vin Diesel
Post ya Ludacris

Loading...

No comments: