VODACOM wagawa Tuzo Points Moshi mjini - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, January 1, 2019

VODACOM wagawa Tuzo Points Moshi mjini

Wafanyakazi wa kampuni ya  Vodacom Tanzania wakiwazawadia wateja wa mtandao huo kutoka Moshi Mjini kwa Tuzo Points pamoja na zawadi zinginezo. Wateja wa Vodacom hujipatia Tuzo Pointi pale wanaponunua salio au kufanya miamala kupitia M-Pesa. Pointi hizo zinaweza kubadilishwa kuwa fedha, salio au bando. Katika msimu huu wa sikukuu, Vodacom Tanzania inawazawadia wateja wao pointi za Tuzo zenye thamani ya shilling Bilioni moja.

Loading...

No comments: