Vodacom yatoa msaada wa kompyuta 30 shule ya Msingi Mbwanga mjini Dodoma - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, January 16, 2019

Vodacom yatoa msaada wa kompyuta 30 shule ya Msingi Mbwanga mjini DodomaPic%2B3
 Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu akimkabidhi Afisa Elimu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Mwisungi Kigosi (wapili kulia) na Mkuu wa shule ya Msingi Mwanga, Rajabi Bakari (Kulia), moja kati ya kompyuta 30 zilizotolewa na kampuni ya Vodacom kwa shule ya Msingi Mbwanga Dodoma hivi karibuni kama mpango wa kuisaidia serikali kuboresha miundombinu ya elimu pamoja na kuhakikisha wanafunzi wanapata elimu ya kidijitali kuanzia elimu ya msingi.
Pic%2B4
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano Vodacom, Jacquiline Materu akitoa mkono wa shukrani na Afisa Elimu wa Wilaya  ya Dodoma Mjini Mwisungi Kigosi (katikati) na Mkuu wa shule ya Msingi Mbwanga, Rajab Bakari, kwa msaada wao, katika hafla ya kukabidhi kompyuta 30 zilizotolewa na Vodacom kwa shule ya Msingi Mbwanga Dodoma hivi karibuni kama mpango wa kuisaidia serikali kuboresha miundombinu ya elimu pamoja na kuhakisha wanafunzi wanapata elimu ya kidijitali kuanzia elimu ya msingi .
Loading...

No comments: