Vyombo vya habari vya kidini vyaomba kufutiwa leseni za kibiashara - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, January 24, 2019

Vyombo vya habari vya kidini vyaomba kufutiwa leseni za kibiashara

Askofu wa Kanisa la Agape, Vernon Fernandes ameiomba Serikali kuvifutia vyombo vya habari vya dini leseni za uendeshaji kibiashara na badala yake kuwaweka katika mfumo usio wa kibiashara.

Ametoa ombi hilo leo Ikulu jijini Dar es Salaam katika kikao kati ya Rais John Magufuli na viongozi wa dini ili kuzungumza masuala yanayohusu nchi.

 “TCRA wameifuta Non Commercial License wanataka sisi tufanye kazi kama ITV, EATV, tutawezaje kulipa leseni ya kibiashara wakati hatuna matangazo yanayoweza kutuingizia pesa hizo zinazotakiwa,” Amesema Vernon
Loading...

No comments: