WAGANGA WA JADI KUKIONA CHA MOTO NJOMBE... - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, January 28, 2019

WAGANGA WA JADI KUKIONA CHA MOTO NJOMBE...


Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka, ameliagiza Jeshi la Polisi kupitia upya leseni za waganga wa jadi na kuwakamata wanaohusishwa kusababisha vifo vya watoto na wazee kwa imani za kishirikina. Ametoa agizo hilo baada ya mwili wa mtoto wa kike mwenye umri kati ya miaka 10 na 12 kuokotwa katika Mto Hagafilo.

Kwa siku za hivi karibuni kumeripotiwa matukio ya watoto kupotea au kuuawa mkoani humo, jambo ambalo limewatia hofu wakazi wa mkoa huo. 


Loading...

No comments: