Wananchi Wachoma Kanisa Wakidai Linaleta Pepo Wachafu - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, January 29, 2019

Wananchi Wachoma Kanisa Wakidai Linaleta Pepo WachafuWANANCHI wenye hasira kali wanadaiwa kuvamia katika eneo la Kanyogoga Wilaya ya Gulu nchini Uganda na kuchoma Kanisa moja muda mfupi baada ya ibada ya asubuhi, kwa madai kuwa linawaletea pepo wachafu.Wakaazi wa eneo hilo lililoko Kaskazini mwa nchi hiyo wameeleza kuwa wamekuwa wakichukizwa na mienendo ya ibada ya Kanisa hilo linalofahamika kama ‘Jesus is the Living Stone’ (haijaelezwa ni mienendo gani) ambayo wamedai ni kinyume cha mafundisho ya Yesu Kikristo.
Loading...

No comments: