Waziri Mbarawa Azindua Bodi ya Taifa ya Maji, Aitaka kupitia Sheria za Rasilimali maji ziwe na manufaa kwa wananchi - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, January 31, 2019

Waziri Mbarawa Azindua Bodi ya Taifa ya Maji, Aitaka kupitia Sheria za Rasilimali maji ziwe na manufaa kwa wananchi

Waziri wa Maji, Mhe. Profesa Makame Mbarawa akimkabidhi nyenzo za kutendea kazi Mwenyekiti wa Bodi ya Maji Taifa Profesa Hudson Hamis Ngotagu.
Waziri wa Maji, Mhe. Profesa Makame Mbara wa akiwa na Katibu Mkuu, Profesa Kitila Mkumbo pamoja na Wenyevit wa Bodi za Maji Tanzania.
Loading...

No comments: