50 Cent aivalia njuga kampuni ya Gucci baada ya kupata kashfa ya ubaguzi wa rangi, azichoma moto nguo za Gucci (+ Video)


Licha wa kampuni ya Gucci kuomba msamaha wateja wakekutoka na ile kashfa ya ubaguzi wa rangi kutokana na kutumia picha ya mtu mweus kuonyesha kutangaza bidhaa zao na watu kuijia kampuni hiyo juu kutokana na kitendo hicho.
Huu ndio ulikuwa wa kampuniya Gucci:-
Baaadaye kampuni hiyo ilitumia mtandao wa twitter kuomba msamaha ila msamaha huo haukukubalika kwa baadhi ya wadau hasa staa kutoka Marekani Rapper 50 Cent na kuonyesha kuwa kuchukizwa na kitendo hicho na kuamua kutumia mitandao ya kijamii kupinga vitendo hivyo na kuchoma moto nguo za kampuni hiyo.

Post a Comment

0 Comments