Fahamu kuhusu Mahusiano na mapenzi kupitia app hii ya "Kiumeni" - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, February 26, 2019

Fahamu kuhusu Mahusiano na mapenzi kupitia app hii ya "Kiumeni"

App ya Kiumeni - Kona Ya Mapenzi
Application ya Kiumeni

Kiumeni App, ni App inayokupa Mambo mbalimbali kuhusiana na mahusiano pamoja na Mapenzi katika maisha yetu ya kila siku. App hii ya Kiumeni itakufanya uweze kujua mambo mengi sana kuhusiana na Mapenzi.

Utapata elimu, Ujuzi, ufundi na Darasa la mapenzi katika app yetu pendwa ya Kiumeni - "Kona ya Mapenzi". 

Utapata kusoma makala mbali mbali zilizo andaliwa kwa weledi na kufahamu ujanja wote kuhusu mahusiano, mbinu za kutongoza, kusuka demu, kumzuzua, kumteka hisia na ile mbinu spesheli ya kumkontrol kama rimoti.

Pakua app hii kupitia Playstore Hapa >> KIUMENI APP


Kiumeni App

Katika kijiwe hichi cha Kiumeni utapata kujuzwa mambo mengi sana kuhusu maisha na elimu ya mapenzi. 

Tunakuletea Makala zilizo sheheni mada zifuatazo: - 
Jinsi ya kuishi na mpenzi wako. 
Elimu ya Mahusiano na ndoa
Jinsi ya Kutongoza mwanamke au mwanaume yoyote yule na asiweze kukukatalia, 
Jinsi ya Kuwa mtundu na Kufaidi Utamu wote wa chumbani.
Utapata Ushauri wa Mapenzi na mahusiano katika nyanja mbali mbali kutoka kwa Wazoefu na makungwi wa Simulizi nzuri za Mapenzi za Kusisimua
Afya na mazoezi pamoja na mambo ya fasheni.
Jinsi ya kumfikisha mpenzi wako kileleni na kadha wa kadha.

Hakika Ukiwa na App Hii ya Kiumeni, Itakufanya uone kweli mapenzi ni Mubashara kwani utakuwa umebobea kwa kuwa mjuzi wa Mbinu mbalimbali za mapenzi na kuboresha mapenzi uliyonayo

Pata Elimu ya Mapenzi na Mahusiano katika kijiwe chetu cha Kiumeni.

App hii ni kwa ajili ya watumiaji wa simu zenye mfumo wa Android pekee kwa sasa.

Loading...

No comments: