Account ya Marehemu Godzilla instagram yageuzwa page ya umbea - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, February 21, 2019

Account ya Marehemu Godzilla instagram yageuzwa page ya umbea


Account ya Marehemu Godzilla instagram yageuzwa page ya umbea
Ni siku tano zimepita tokea Godzilla apumzishwa kwenye nyumba yake ya milele katika makaburi ya Kindondoni jijini DSM February 16,2019, lakini jambo lililowahuzunisha wengi ni kitendo cha akaunti yake ya Instagram kua-hacked account na kufanywa page ya umbea.

Msanii wa Hip Hop Fid Q hakutaka kitu hiki kipite hivyo ametumia ukurasa wake wa instagram kutoa taarifa kuwa account aliyokuwa akiitumia Marehemu Godzilla imechukuliwa na sasa inamilikiwa na Umbea Queen na ameonyesha kusikitishwa na kitendo hicho.

“Daaah.. Yaani hatujafikisha hata wiki tangu tumpumzishe ndugu yetu kwenye makazi yake ya milele.. HACKERS washapita na page ya insta ya ZIZI..!!? 🙌🏽”


Loading...

No comments: