Alikiba Afanya Bonge la Shoo Muscat Aacha Histori - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, February 9, 2019

Alikiba Afanya Bonge la Shoo Muscat Aacha Histori


Alikiba Afanya Bonge la Shoo Muscat Aacha Historia

Msanii wa muziki, Alikiba Ijumaa hii amefanya show ya nguvu huko Muscat, Oman na kupokewa na maelfu ya watu.

Hii ni show ya kwanza kubwa ya muimbaji huyo kwa mwaka 2019 baada ya ile aliyofanya nchini Kenya.

Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
Loading...

No comments: