ALIKIBA NA MKEWE WAPATA MTOTO WA KIUME - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, February 28, 2019

ALIKIBA NA MKEWE WAPATA MTOTO WA KIUME


MSANII wa muziki wa Bongo Fleva na mkurugenzi wa Rockstar, Alikibaamethibitisha kupata mtoto wa kiume baada ya mke wake, Amina kujifungua.
Kupitia ukurasa wa Snapchat msanii huyo amepost picha zikionesha sura na miguu ya mtoto. ikidaiwa mke wake Amina amejifunua jana.
Baada ya muda kidogo msanii huyo ali-post clip fupi ya video ikiwaonyesha watoto wakituma salamu kwa msanii huyo wakimwambi “Hongera kwa kupata mtoto wa kiume na mlinde mtoto kwa ajili yetu.”
Alikiba na mke wake wanasherekea ujio wa mtoto wao huyo ikiwa ni miezi michache tangu kufunga kwa ndoa yao mwaka jana na mke wake amina kutoka nchini kenya.
Loading...

No comments: