BAADA YA KUMTAJA TUNDU LISSU, CHADEMA WAINGIA VITANI NA KARIA, WATOA TAMKO


CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeingia vitani na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Wallace Karia baada ya kutoa matamshi ya kuwaonya wajumbe wa mkutano mkuu kuacha tabia za ki Tundu Lissu kwenye kuchafua ama kuleta migogoro kwenye tasnia ya mpira nchini.

CHADEMA kimemtaka Karia kumuomba radhi Lissu ambaye ni wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, bila hivyo wametangaza moja ya mambo watakayofanya ni kuhamasisha wanachama wake kutoshiriki shughuli za TFF.Post a Comment

0 Comments