Baraza la malaika wa uwekezeji duniani laanza - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, February 19, 2019

Baraza la malaika wa uwekezeji duniani laanza


Baraza la uwekezaji la "malaika wa biashara" wa dunia (World Business Angels Investment Forum-WBAF) limeanza jijini Istanbul.

Baraza hilo ni jumuiya kubwa duniani ya soko la uwekezaji na mitaji.

Rais wa WBAF Baybars Altuntaş katika ufunguzi wa baraza hilo alisema ni faraja kubwa kuwakaribisha wafanya maamuzi muhimu wa dunia ambao ndani ya siku mbili watakuwa wakibadilishana mawazo katika kutengeneza thamani duniani.
Loading...

No comments: