BENKI YA NBC YACHANGIA UJENZI WA KITUO CHA POLISI RUANGWA MKOANI LINDI - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, February 19, 2019

BENKI YA NBC YACHANGIA UJENZI WA KITUO CHA POLISI RUANGWA MKOANI LINDI


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (wa tatu kushoto) akipiga picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi (wa pili kushoto), akiwa na ujumbe wake baada ya kukabidhi msaada wa mifuko 1000 ya saruji kusaidia ujenzi wa kituo cha polisi cha Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (wa pili kushoto), akipokea mfano wa hundi kwa ajili ya kununua mifuko 1,000 ya saruji kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi, kwa ajili ya kununulia mifuko 1,000 ya saruji kama  mchango wa NBC kuchangia ujenzi wa kituo cha polisi cha Wilaya ya Ruangwa, Mkoani Lindi. Hafla ya makabidhiano  iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.

No comments: