BERAHINO MATATANI KWA POMBE, STOKE CITY YAFIKIRIA KUMUACHA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, February 22, 2019

BERAHINO MATATANI KWA POMBE, STOKE CITY YAFIKIRIA KUMUACHAKlabu ya Stoke City imekuwa ikiangalia uwezekano wa kuachana na mshambuliaji wake, Saido Berahino raia Burundi.

Hatua hiyo inatokana na hatua ya mchezaji huyo kupatikana na hatia ya kuwa akiendesha huku amelewa.

Imeelezwa mkataba wake unisha mwaka 2022 na klabu ikumucha itamlip hadi pauni milioni 6, jambo linaloonekana kuwa kikwazo.TAKWIMU:

West Brom (2011-16): 121 games (36 goals)
Northampton (2011, loan): 15 (6)
Brentford (2012, loan): 8 (4)
Peterborough (2012, loan): 10 (2)
Stoke (2016-): 56 (5)
Total: 211 (53)
INTERNATIONAL CAREER
England U16-20 (2009-14): 36 (14)
England U21 (2013-15): 11 (10)
Burundi (2018-): 4 (1)


CHANZO; SALEHE JEMBE
Loading...

No comments: