Diamond na Rayvanny washushiwa lawama kisa Tetema - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, February 24, 2019

Diamond na Rayvanny washushiwa lawama kisa Tetema


Diamond na Rayvanny washushiwa lawama kisa Tetema
Wasanii wa Bongo Fleva kutokea WCB, Diamond na Rayvanny wamelalamikiwa na mtu maarufu. mtandaoni, Mr. Liquid kwa kile alichodai kuwa wametumia kionjo chake kwenye wimbo wao bila makubaliano.
Wimbo wa Rayvanny unaokwenda kwa jina la Tetema ambao amemshirikisha Diamond Platnumz. ndio wenye kionjo hicho.
Tetema ni wimbo  maarufu, wanatumia kionjo changu kupiga hela walipaswa kunitafuta," amesema.
Tetema ni wimbo wa nne kwa Rayvanny kufanya na Diamond baada ya Salome, Iyena na Mwanza
ambao umefungiwa na Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) kutokana na kukiuka maadili.
Loading...

No comments: