DUH! ZAHERA AWAKA TENA KWA MAKAMBO, AMCHANA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, February 1, 2019

DUH! ZAHERA AWAKA TENA KWA MAKAMBO, AMCHANA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI


Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera amesema kuwa katika mechi yao ya kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Biashara United imekosa nafasi nyingi ambazo wameshindwa kuzitumia.

Zahera amezungumzia kiwango cha mshambuliaji wake Herieter Makambo kuwa kimerudi nyuma kama hapo awali alivyokuwa akicheza na kufanya vitu vya onyo pindi anapokuwa uwanjani.

Loading...

No comments: