Fid Q Afunguka Sababu Iliyomfanya Achelewe Kuoa - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, February 7, 2019

Fid Q Afunguka Sababu Iliyomfanya Achelewe Kuoa


Fid Q Afunguka Sababu Iliyomfanya Achelewe Kuoa
Msanii wa Muziki wa hip hop nchini Fareed Kubanda maarufu kama Fid Q amefunguka na kuweka wazi sababu iliyomfabya Mpaka akachelewa kuoa.

Fid Q alifunga ndoa na Mpenzi Wake wa siku nchini ambaye ameshakuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mingi Lakini pia mwanamke ambaye amezaa naye Mtoto.

Ndoa hiyo ilifungwa mwaka jana mwishoni ambapo ilionekana kuhudhuriwa na ndugu wa karibu kwani wasanii hawakuonekana kwenye shughuli.

Lakini akiwa ndani ya ndoa Fid Q amefunguka na kuweza wazi sababu iliyomfanya Mpaka Akawa hajaoa mapema kama ambavyo alikuwa anategemewa.

Nilichelewa kuoa kwa sababu nilichelewa kupata mwanamke ambaye tungeendana, kwani ambao nilikuwa nawapata tulikuwa hatuendani baadhi ya vitu Lakini nilivyompata mke Wangu kwa kweli naona kabisa kuna vitu vingi tunashabihana na vichache tupo tofauti”.
Loading...

No comments: