FULL TIME SIMBA 3-1 AZAM: MNYAMA AZIDI KUUNGURUMA NA KUMALIZA VIPORO KISHUJAA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, February 22, 2019

FULL TIME SIMBA 3-1 AZAM: MNYAMA AZIDI KUUNGURUMA NA KUMALIZA VIPORO KISHUJAAFULL-TIME: 

Dakika 90 zimemalizika, Simba wanatafuna kiporo chao kingine kwenye Uwanja wa Taifa DSM na sasa wanafikisha pointi 45, point tano nyuma ya Azam FC na 16 nyuma ya vinara Yanga SC huku wakiwa nyuma kwa michezo 7. Loading...

No comments: