Gwiji mwingine wa hip hop atabiri harusi ya - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, February 21, 2019

Gwiji mwingine wa hip hop atabiri harusi ya

Songa ametoa kauli hiyo kupitia ukurasa wake wa Twitter ambapo amesema hawezi kukubali watu waondoke na chakula katika siku ya harusi yake.

Msanii huyo alifahamika na wengi alipoachia wimbo wake wa 'Mwendo tu' aliomshirikisha Jay Moe, wimbo ambao ulitoka mwezi Desemba mwaka 2016.
Imeshuhudiwa hivi karibuni msururu wa manguli mbalimbali wa Hip Hop wakifunga ndoa na wapenzi wao, ambapo msanii wa mwisho hivi karibuni ni Fid Q ambaye ameungana na Mwana FA, AY.
Loading...

No comments: