Hamisa Atupa Dongo Gizani - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, February 1, 2019

Hamisa Atupa Dongo Gizani

Mwanadada Hamisa Mobeto amefunguka na kusema kuwa watu wamekuwa na tabaia ya kuonyesha kuwa wanawapenda pindi tu wanapokufa kwa kuwalilia na kuwawekea mashada ya maua wakati walitakiwa kuonyesha huo upendo wakiwa hai.

hamisa analaani kitendo icho na kuona ni kama unafki na kwamba hakuna rafiki wa kweli uniani kwa sababu kila mmoja anakupenda pale unapokua.

Akisema swala hilo bila kulenga mhuiska, Hamisa alifanya hivyo katika snapchat yake huku akisema kuwa “upendo mwingi huja watu wakiona kuwa umekufa, watakuoa maua wakati wanajua kuwa huweiz kuyanusa’
Loading...

No comments: