Harmonize atangaza ujio wa ngoma yake mpya aliyowashirikisha Diamond na msanii wa Nigeria BurnaBoy

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka katika lebo ya muziki ya WCB Harmonize ametangaza ujio wa ngoma yake mpya aliyoipa jina la AfroBongo muda wowote kuazia sasa hivi, aliyowashirikisha Diamond na Burna Boy kutoka Nigeria.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii huyo ameandika haya:-
Ingawa ameongeza kuwa ataachia nyimbo nne kwa wakati mmoja.
By Al

Post a Comment

0 Comments