Hii Hapa Ratiba ya Mazishi ya Ruge Kuzikwa Kwao Bukoba Jumatatu - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, February 28, 2019

Hii Hapa Ratiba ya Mazishi ya Ruge Kuzikwa Kwao Bukoba Jumatatu


Hii Hapa Ratiba ya Mazishi ya Ruge Kuzikwa Kwao Bukoba Jumatatu
NDUGU Kashasha ambaye ni msemaji wa Familia ya Mutahaba amesema kama mambo yakienda kama yalivyopangwa, mwili wa #RugeMutahaba utawasili jijini Dar es salaam kutokea Afrika Kusini siku ya IJUMAA (March 1/2019).Ikiwa hivyo wakazi wa Dar es Salaam watatoa heshima za mwisho na kumuaga mpendwa wetu siku ya JUMAMOSI (March 2/2019). .

Baada ya hapo: Familia imeamua kwamba Ruge atakwenda kuzikwa nyumbani kwao huko Bukoba siku ya JUMATATU (March 4/2019) (Jumapili mwili utasafirishwa kwenda Bukoba)
Loading...

No comments: