HILI NDIO TAMKO LA YANGA BAADA YA KUPATA KIPIGO NA SIMBA WIKIENDI HII - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, February 18, 2019

HILI NDIO TAMKO LA YANGA BAADA YA KUPATA KIPIGO NA SIMBA WIKIENDI HII


Uongozi wa klabu ya Yanga umekubali matokeo ya kufungwa bao 1-0 dhidi ya Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Licha ya kupoteza mechi hiyo, Yanga wameeleza kuwa haina maana kufungwa na Simba ndiyo wamepoteza mbio za ubingwa kwani bado mechi zinaendelea.

Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten, amesema hawajapoteza ligi bali wamepoteza mechi pekee, na haya ndiyo aliyoandika.


Loading...

No comments: