Jinsi ya kujitoa au kutoa namba yako kutoka kwenye app ya TrueCaller (2019) - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, February 24, 2019

Jinsi ya kujitoa au kutoa namba yako kutoka kwenye app ya TrueCaller (2019)


Je tayari umeshatumia app ya TrueCaller na sasa unajiuliza ni jinsi gani ya kuondoa kabisa namba yako ya simu na data zingine kutoka kwenye app ya TrueCaller?

Leo tutakufundisha hivyo, tutakuelekeza ata kama wewe bado haujajiunga na app hiyo ila namba yako tayari imeunganisha kwenye mfumo huo.

Jinsi ya kuondoa namba yako kwenye mfumo huu ina njia mbili na inategemea kama tayari ulijiandikisha kwenye huduma hii au haujajiandikisha ila kutokana na mtu anayetumia app hii kuwa na namba yako basi na taarifia zako zimeingizwa.
App ya TrueCaller

TrueCaller: Jinsi ya kujitoa au kutoa namba yako kutoka kwenye app ya TrueCaller
Kwa wale wenye akaunti za TrueCaller
Kwa wale wasio na akaunti ya TrueCaller au wamefuta/deactivate akaunti zao

Kwa wengi kuna faida flani katika huduma hii, mfano kufahamu jina la mtu anayekupigia kabla ya kupokea inaweza ikawa muhimu sana kikazi. Vipi wewe unamtazamo gani juu ya huduma ya TrueCaller?

Loading...

No comments: