KAMATI YA AMANI YA MKOA WA DAR ES SALAAM YAMTEMBELEA KATIBU WA BUNGE OFISINI KWAKE - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, February 28, 2019

KAMATI YA AMANI YA MKOA WA DAR ES SALAAM YAMTEMBELEA KATIBU WA BUNGE OFISINI KWAKE


Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai (Kulia) akimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harison Mwakyembe alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma. Waziri Dkt. Mwakyembe aliongozana na Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salim na Katibu wa Kamati hiyo  Mchungaji Jackson Sosthenes.
Loading...

No comments: