KIMENUKA! Uongozi YANGA Wamjia Juu JERRY MURO!

Kaimu Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Siza Lyimo kwa niaba ya klabuu amesema wamesikitishwa na kauli ya DC wa Arusha mjini MHE. Jerry Muro kwa kauli yake ya kuwasema baadhi ya wachezaji wa timu hiyo wamepita umri wa kuichezea klabu hiyo

Muro aliyasema hayo wakati wa mechi ya Simba na Afrik lyon ilichezwa mkoani Arusha jumanne ya wiki hii katika uwanja wa Amri AbeidPost a Comment

0 Comments