Magunia 17 Yenye Kura Feki Yakamatwa Nigeri - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, February 16, 2019

Magunia 17 Yenye Kura Feki Yakamatwa Nigeri


Magunia 17 Yenye Kura Feki Yakamatwa Nigeria

Magunia 17 kura zilizopigwa yakamatwa nchini Nigeria kufwatia uchaguzi. Magunia hayo yamekamatwa kwenye Jimbo la Kano na inadaiwa kura zake zimepigwa ili kukipa ushindi chama tawala(All Progressive Party-APC).
Hata hivyo baada ya uchunguzi Jeshi la Polisi lilieleza kuwa karatasi hizo si halisi bali ni za mfano na hazikuwa zimetumika.Imethibitishwa kuwa watu wawili tayari wameshatiwa kwenye mkono wa sheria na magunia hayo kwaajili zaidi ambao utaendelea kufanyika.Msemaji wa Polisi amesema karatasi hizo zilikuwa zikisafirishwa kwenda vijiji ili zisaidie kutoa elimu ya kupiga kura
Loading...

No comments: