MANARA AINGILIA KATI SARE YA YANGA NA COASTAL, AMTAJA NINJA NA MWAMUZI - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, February 4, 2019

MANARA AINGILIA KATI SARE YA YANGA NA COASTAL, AMTAJA NINJA NA MWAMUZI


Baada ya beki wa Yanga, Abdallah Shaibu kumpiga kiwiko mchezaji wa Coastal Union jana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, kwa kuzungumzia tukio la refa kupeta tukio hilo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Manara amesema kuwa waamuzi wanapaswa kuwa makini huku akituma salaam kwenda Yanga, February 16 ambapo Yanga itakuwa inacheza na Simba.


Loading...

No comments: