MANARA AZIDI KUJIBU MAPIGO, AKUMBUSHIA NAMNA YANGA ILIVYOPIGWA 13-0 BRAZIL - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, February 4, 2019

MANARA AZIDI KUJIBU MAPIGO, AKUMBUSHIA NAMNA YANGA ILIVYOPIGWA 13-0 BRAZIL

Baada ya kuandamwa na kejeli pamoja na majungu kutoka kwa watani zake wa jadi Yanga, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, ameamua kuja na kali kwa kukumbushia namna Yanga walivyofungwa bao 13-0.

Kupitia Instagram yake, Manara ameandika haya hapaLoading...

No comments: