MBUNGE ALIYETIMUA ‘MBIO’ ALIVYOSIMAMA TENA BUNGENI “KUNA HATARI” – VIDEO


Mbunge wa Muleba, Dkt Charles Mwijage, ambaye hivi majuzi amegeuka gumzo mitandaoni baada ya kusambaa kwa picha yake ikimuonesha akitimua mbio za kufa mtu Bungeni baada ya kingo’ra ya kuashiria hatari kulia wakiwa katikati ya kipindi cha maswali na majibu.
Mwijage amesimama tena Bungeni kuchangia hoja na kuishauri serikali katika masuala mbalimbali yakiwemo katika sekta ya afya, Elimu, Viwanda na Biashara.
video kwa hisani ya GLOBAL TV

Post a Comment

0 Comments