MEEK MILL APEWA HESHIMA HII KUBWA NA HALMASHAURI YA JIJI LA HOUSTON, TEXAS - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, February 28, 2019

MEEK MILL APEWA HESHIMA HII KUBWA NA HALMASHAURI YA JIJI LA HOUSTON, TEXASTarehe 24 February ya kila mwaka haitakuwa tena tarehe ya kawaida kwa wakazi wa Houston, Texas nchini Marekani, kwani kwa sasa imepewa hadhi ya 'Meek Mill Day'.

Hii imetokea juzi wakati mzaliwa huyo wa Philly alipotua kwenye ardhi ya Houston kufanya show kwenye ziara yake 'Motivation Tour' ambapo ilitangazwa rasmi mbele ya wahudhuriaji ndani ya ukumbi wa Retention Music Center.

Tovuti ya TMZ imeripoti kuwa, Meek Mill amepewa heshima hiyo kutokana na kupaza sauti juu ya marekebisho ya sheria za magereza. 

Loading...

No comments: