MENEJIMENT YA BET YAMWOMBA RADHI NICKI MINAJ KWA DONGO WALILOMPA TWITTER - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, February 13, 2019

MENEJIMENT YA BET YAMWOMBA RADHI NICKI MINAJ KWA DONGO WALILOMPA TWITTER



Moja ya habari zinazoTREND muda huu kimataifa ni swala la BET kumwomba msamaha rapa kutoka Label ya Young Money, Nicki Minaj kufuatia tweet yao iliyompiga dongo baada ya Cardi B kushinda tuzo ya Grammy. 


BET wamesema wanampenda Nicki Minaj na wamechukua hatua ya kuifuta na kumwomba msamaha hadharani na pia wamepanga kufanya nae mazungumzo zaidi.

Hatua hiyo imechukuliwa na BET baada ya Nicki Minaj kuahidi alhamis hii kumwaga siri nzito nyuma ya kushindwa kwake kushinda Grammy kwa miaka zaidi ya 15 sasa. 


Je nini kinaendelea nyuma ya pazia la tuzo hizi? 

Loading...

No comments: