Mrisho Mpoto Afichua Siri "Ruge Ndio Aliniambia Niwe Natembea Peku" - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, February 21, 2019

Mrisho Mpoto Afichua Siri "Ruge Ndio Aliniambia Niwe Natembea Peku"Mrisho Mpoto amesema Ruge Mutahaba ndie aliemuambia awe anatembea peku ili aonekane tofauti "Aliniambia tayari wewe unaimba mashairi je unataka watu wakupambanuaje?, nikamwambia nitavaa magunia akasema sawa hiyo haitoshi ongezea nyingine”. 


"Ni Ruge aliyenitengeneza mimi kuwa tofauti kwa mashairi yangu, mwanzoni nilikuwa naimba tu kikubwa zaidi alinitengeneza yaani kuni-brand" MRISHO MPOTO

No comments: