Mume amjeruhi mkewe baada ya kupika chapati 8 na yeye alitaka 20 - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, February 14, 2019

Mume amjeruhi mkewe baada ya kupika chapati 8 na yeye alitaka 20


Mwanamke wa makamo amelazwa Hospitali baada ya kujeruhiwa na mumwe wake baada ya kuzuka mzozo kati yao kuhusu chakula

Mwanamke huyo alishambuliwa na Mumewe baada ya kupika chapati 8 kwa kutumia nusu kilo ya unga huku mumewe alitegemea zipikwe chapati 20

Mwakamke huyo ambaye ni mjamzito bado amelazwa katika Hospitali moja huko Kaunti ya Nyandarua huku akiwa amepoteza fahamu

Majirani wamesema kuwa ni kawaida ya Mwanaume huyo kumpiga mkewe kwa sababu na visa mbalimbali

Wamesema siku kadhaa zilizopita Mwanamke huyo alipigwa na mumewe baada ya kula Parachichi 1 alilokuja nalo Mumewe
Loading...

No comments: